Klabu ya Simba imetangaza kwamba haitocheza mchezo wake dhidi ya watani wao wa jadi Yanga hii leo ikisema imesikitishwa na vitendo visivyo vya kiungwana dhidi ya timu yao kuelekea mchezo huo. Klabu ya ...
Leo Jumamosi, Mei 8, mechi ya soka ya watani wa jadi Tanzania, Simba na Yanga itachezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam ikiwa ni ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania msimu huu ...
Dar es salaam, Tanzania – Sakata la Simba kuzuiwa kufanya mazoezi yake ya mwisho na mabaunsa na maafisa wanaoaminika kuwa wa Yanga katika uwanja wa Mkapa siku ya Ijumaa usiku, lilipelekea debi hiyo ...
Klabu mbili maarufu za soka nchini Tanzania, Yanga na Simba zinateremka dimbani leo kwa mchezo wa ratiba ya ligi kuu unaotarajiwa kutoa mwelekeo wa mashindano hayo ya kandanda kwa mwaka 2024/25.
MICHUANO ya Kombe la Mapinduzi 2026 inaanza rasmi leo kwa kupigwa mechi mbili za Kundi A ikianza ile ya watetezi Mlandege ...
Katika idadi hiyo Simba inaongoza kwa kushinda mara nne na Yanga ikipata ushindi mara tatu na mara nne zikienda sare lakini kizuri kwa Yanga ni ku... OKTOBA 18 uwanja wa taifa Dar es Salaam kutawaka ...
Tanzania inaweza kusimama kwa muda Jumamosi kupisha pambano la watani wa jadi Simba na Yanga ambalo limepangwa kupigwa uwanja wa Taifa Dar es Salaam kuanzia saa 10: 00 za jioni. Mabingwa watetezi ...
WAKATI ikiwa ni kama utamaduni kwa wapenda soka wengi wa soka nchini kushabikia Simba au Yanga hali ni tofauti kabisa kwa ...