MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imesema mwaka uliopita 2024 umevunja rekodi kwa ongezeko la joto duniani likiongezeka kwa nyuzi joto 1.55. Akizungumza kwenye warsha ya wanahabari juu ya ...
Mkurugenzi Mtendaji wa MUWSA Mhandisi Kija Limbe. Mahakama ya mwanzo Wilaya ya Moshi Mjini imemuhukumu kifungo cha mwaka mmoja jela Shafii Kondo (56) mkazi wa mtaa wa Kiusa kwa kosa la kuiba mita za ...